Earpods pendwa sana kwa mwaka 2023, zenye watumiaji zaidi ya million 100 ulimwenguni, na zinatumiwa zaidi ya nchi 50.
𝗦𝗜𝗙𝗔 𝗞𝗨𝗨
Ni earpods imara ambazo haziingii ndani ya sikio, na ni nyepesi hivyo ukizivaa unakuwa comfortable sana.
Ni earpods zenye bezi (bass) ya kutosha.
𝗖𝗛𝗔𝗥𝗚𝗘
Zinatunza charge kwa jumla ya masaa 40.
𝗪𝗔𝗧𝗘𝗥 𝗥𝗘𝗦𝗜𝗦𝗧𝗔𝗡𝗖𝗘
Ni IPX5 water and sweat proof, hivyo unaweza kuzitumia katika shughuli zako au michezo bila hofu ya jasho, vumbi au maji.
𝗧𝗢𝗨𝗖𝗛 𝗖𝗢𝗡𝗧𝗥𝗢𝗟
next /prev music
pause music
answer/ end call
𝗘𝗡𝗩𝗜𝗥𝗢𝗡𝗠𝗘𝗡𝗧𝗔𝗟 𝗡𝗢𝗜𝗦𝗘 𝗖𝗔𝗡𝗖𝗘𝗟𝗟𝗔𝗧𝗜𝗢𝗡
Hii itakusaidia, kuwasiliana na mtu vizuri sana kupitia earpods zako, hata kama upo sehemu yenye kelele.
𝗢𝗣𝗘𝗡 𝗔𝗡𝗗 𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗜𝗡𝗦𝗧𝗔𝗡𝗧𝗟𝗬
Inaconnect na simu kwa uharaka sana na haikati kati, inakupa stable connectivity.
𝟰 -𝗠𝗜𝗖 𝗕𝗘𝗔𝗠 𝗙𝗢𝗥𝗠𝗜𝗡𝗚 𝗧𝗘𝗖𝗛𝗡𝗢𝗟𝗢𝗚𝗬
Inanasa sauti kutoka mdomoni unapoongea na mtu, kukufanya usikike vizuri sana.
𝗪𝗔𝗥𝗥𝗔𝗡𝗧𝗬
Zina warranty ya mwaka mzima (siku 365).