𝗢𝗥𝗔𝗜𝗠𝗢 𝗪𝗔𝗧𝗖𝗛 𝟯 𝗣𝗥𝗢

Ni smart watch yenye muonekano mzuri sana, wenye kuvutia na ni imara sana.

𝗕𝗟𝗨𝗘𝗧𝗢𝗢𝗧𝗛 𝗖𝗔𝗟𝗟
Inauwezo wa kupiga na kupokea simu, yaani ina mic na speaker. Hivyo unaweza kupokea simu hata ukiwa unaendesha, unakimbia au unafanya shughuli yoyote.

𝗡𝗢𝗧𝗜𝗙𝗜𝗖𝗔𝗧𝗜𝗢𝗡𝗦
Sms zako za kawaida, whatsap, instagram, na mitandao yote ya kijamii, utaziona kupitia saa yako.

𝗣𝗘𝗗𝗢𝗠𝗘𝗧𝗘𝗥
Inahesabu hatua zako , unapotembea.

𝗖𝗔𝗟𝗢𝗥𝗜𝗘
Inapima energy, unayotumia ukiwa mazoezini, au ukiwa unatembea.

𝗧𝗥𝗔𝗜𝗡𝗜𝗡𝗚 𝗠𝗢𝗗𝗘𝗦
Inatumiwa katika michezo tofauti tofauti zaidi ya 120.

𝗦𝗟𝗘𝗘𝗣 𝗧𝗥𝗔𝗖𝗞𝗜𝗡𝗚
Inarecord masaa uliyolala (deep sleep na light sleep)

𝗪𝗔𝗧𝗘𝗥 𝗣𝗥𝗢𝗢𝗙
Ni IP68 waterproof, hivyo unaweza kuitumia kwenye shughuli zako bila hofu ya jasho, mvua au maji.

𝗠𝗨𝗦𝗜𝗖 𝗖𝗢𝗡𝗧𝗥𝗢𝗟
Unaweza ku-next, pause, play muziki wa kwenye simu au sabufa kupitia saa yako.

𝗗𝗜𝗦𝗧𝗔𝗡𝗖𝗘
Inapima umbali, uliotembea au kukimbia.

𝗖𝗛𝗔𝗥𝗚𝗘
Inatunza charge kwa muda, usiopungua wiki moja.

𝗪𝗔𝗥𝗥𝗔𝗡𝗧𝗬
Ina warranty ya mwaka mmoja (siku 365).

Apple Shopping Event

Hurry and get discounts on all Apple devices up to 20%

Sale_coupon_15

Sh 145,000

Add Sh 50,000 to cart and get free shipping!
22 People watching this product now!
  • Pick up from the Woodmart Store

To pick up today

Free

  • Courier delivery

Our courier will deliver to the specified address

2-3 Days

Free

  • DHL Courier delivery

DHL courier will deliver to the specified address

2-3 Days

Free

  • Warranty 1 year
  • Free 30-Day returns

Payment Methods:

Description

Specification

Overview

Processor

Display

Storage

Video Card

Connectivity

Features

Battery

General

Customer Reviews