𝗢𝗥𝗔𝗜𝗠𝗢 𝗦𝗣𝗔𝗖𝗘𝗣𝗢𝗗𝗦

Ni earpods pendwa zaidi mwaka 2024 ikiwa na watumiaji zaidi ya millioni 100.

𝗨𝗡𝗜𝗤𝗨𝗘 𝗟𝗨𝗡𝗔𝗥 𝗗𝗘𝗦𝗜𝗚𝗡
Ina muundo wa kipekee (rough surface) na case yake inafunguka kwa ku-slide.

𝗣𝗢𝗪𝗘𝗥𝗙𝗨𝗟 𝗕𝗘𝗔𝗧 & 𝗗𝗘𝗘𝗣 𝗕𝗔𝗦𝗘
Ina bezi (bass) ya kutosha kukufanya uenjoy kusikiliza mziki wake.
Pia, ina-support matumizi ya Oraimo sound app ili ku-customize muziki na ku-switch modes tofauti kirahisi zaidi.

𝗣𝗥𝗘𝗠𝗜𝗨𝗠 𝗟𝗜𝗦𝗧𝗘𝗡𝗜𝗡𝗚 𝗠𝗢𝗗𝗘
Earpods hii ina low latency game mode, transparency mode, na active noise cancellation (ANC).

𝗟𝗢𝗡𝗚 𝗕𝗔𝗧𝗧𝗘𝗥𝗬 𝗟𝗜𝗙𝗘
Inatunza chaji kwa masaa 35.5, ambapo earpods zina playtime ya masaa 8.5 na case yake ni masaa 27.
Ukiichaji kwa dakika 10 utaitumia kwa dakika 170.

𝗜𝗣𝗫𝟱 𝗪𝗔𝗧𝗘𝗥 & 𝗦𝗪𝗘𝗔𝗧 𝗣𝗥𝗢𝗧𝗘𝗖𝗧𝗜𝗢𝗡
Ni resistant kwa maji na jasho, kwa hiyo unaweza kuzitumia pasipo hofu.

𝗪𝗔𝗥𝗥𝗔𝗡𝗧𝗬
Warranty ya mwaka mzima (365 days).

Apple Shopping Event

Hurry and get discounts on all Apple devices up to 20%

Sale_coupon_15

Sh 150,000

Add Sh 50,000 to cart and get free shipping!
12 People watching this product now!
  • Pick up from the Woodmart Store

To pick up today

Free

  • Courier delivery

Our courier will deliver to the specified address

2-3 Days

Free

  • DHL Courier delivery

DHL courier will deliver to the specified address

2-3 Days

Free

  • Warranty 1 year
  • Free 30-Day returns

Payment Methods:

Description

Specification

Overview

Processor

Display

Storage

Video Card

Connectivity

Features

Battery

General

Customer Reviews