𝗪𝗜𝗥𝗘𝗟𝗘𝗦𝗦 𝗞𝗘𝗬𝗕𝗢𝗔𝗥𝗗 𝗠𝗢𝗨𝗦𝗘 𝗖𝗢𝗠𝗕𝗢

Ni keyboard nzuri sana na yenye mwonekano wa kuvutia, ndogo na nyepesi.

𝗤𝗨𝗜𝗘𝗧 𝗧𝗬𝗣𝗜𝗡𝗚
Ni keyboard ambayo haitoi sauti kubwa unapo type na unapotumia mouse yake.

𝗗𝗜𝗦𝗧𝗔𝗡𝗖𝗘
Una uwezo wa kuitumia mpaka umbali wa mita nane kutoka kwenye kifaa chako

𝗖𝗢𝗠𝗣𝗔𝗧𝗜𝗕𝗜𝗟𝗜𝗧𝗬
Una uwezo wa kutumia katika windows tofauti tofauti kama 7,8,10, na 11.
Unaweza kuitumia katika desktop na laptop.

𝗧𝗥𝗔𝗡𝗦𝗠𝗜𝗦𝗦𝗜𝗢𝗡 𝗦𝗣𝗘𝗘𝗗
Ina 2.4GHz, ambayo inaruhusu spidi kubwa ya data transmission (allowing you to grasp your inspiration instantly)

𝗔𝗗𝗗𝗜𝗧𝗜𝗢𝗡
Ni keyboard yenye size ndogo,nyepesi na inayobebeka kiurahisi (portable).
Ipo slim kiasi kwamba haiumizi vidole hata ukitype kwa muda mrefu.

𝗪𝗔𝗥𝗥𝗔𝗡𝗧
Bidhaa ina warranty ya mwaka mzima (siku 365).

Apple Shopping Event

Hurry and get discounts on all Apple devices up to 20%

Sale_coupon_15

Sh 90,000

Add Sh 50,000 to cart and get free shipping!
55 People watching this product now!
  • Pick up from the Woodmart Store

To pick up today

Free

  • Courier delivery

Our courier will deliver to the specified address

2-3 Days

Free

  • DHL Courier delivery

DHL courier will deliver to the specified address

2-3 Days

Free

  • Warranty 1 year
  • Free 30-Day returns

Payment Methods:

Description

Specification

Overview

Processor

Display

Storage

Video Card

Connectivity

Features

Battery

General

Customer Reviews