Airbuds pendwa zaidi kwa mwaka 2024, zenye watumiaji zaidi ya milioni 100 ulimwenguni, na zinatumiwa zaidi ya nchi 50.
𝗣𝗢𝗪𝗘𝗥𝗙𝗨𝗟 𝗗𝗘𝗘𝗣 𝗕𝗔𝗦𝗦
Ina bezi (bass) nzuri na ya kutosha kukufanya uenjoy kusikiliza muziki wake.
Na inatumia app ya Oraimo sound inayokusaidia ku-customize aina ya muziki unaohitaji.
𝗖𝗛𝗔𝗥𝗚𝗘
Inatunza chaji kwa masaa 38, buds ni masaa 7, case yake ni masaa 31.
AniFast technology, chaji kwa dakika 10 tumia kwa dakika 90.
𝗟𝗘𝗗 𝗣𝗢𝗪𝗘𝗥 𝗗𝗜𝗦𝗣𝗟𝗔𝗬
Case yake ina display inayoonesha kiasi cha chaji katika case, na buds ya kulia na kushoto.
𝗘𝗡𝗖 𝗧𝗘𝗖𝗛𝗡𝗢𝗟𝗢𝗚𝗬
Airbuds zina environmental noise cancellation inayokusaidia kusikilizana vizuri wakati wa kuongea na simu (clear calls).
𝗜𝗣𝗫𝟰 𝗪𝗔𝗧𝗘𝗥𝗣𝗥𝗢𝗢𝗙 & 𝗦𝗪𝗘𝗔𝗧 𝗣𝗥𝗢𝗧𝗘𝗖𝗧𝗜𝗢𝗡
Ni resistant kwa water splashes na jasho hivyo unaweza kusikiliza muziki bila hofu yoyote.
𝗟𝗢𝗪-𝗟𝗔𝗧𝗘𝗡𝗖𝗬 𝗚𝗔𝗠𝗘 𝗠𝗢𝗗𝗘
Mode hii inakusaidia kusikia sauti halisi wakati unacheza video games.
𝗪𝗔𝗥𝗥𝗔𝗡𝗧𝗬
Zina warranty ya mwaka mzima (siku 365).