𝗢𝗥𝗔𝗜𝗠𝗢 𝗕𝗢𝗢𝗠𝗣𝗢𝗣 𝟮𝗦

Ni headphones nzuri sana na toleo la mwisho katika headphones za Oraimo, ina muonekano mzuri, nyepesi, imara na ina bezi (bass) ya kutosha.

𝗚𝗘𝗦𝗧𝗨𝗥𝗘 𝗖𝗢𝗡𝗧𝗥𝗢𝗟
Hii ni teknolojia mpya, unaweza ku-next, pause, play, kupokea na kukata simu bila kushika simu wala headset, ni ku-swipe kidole au mkono wako katika upande wa kulia wa headset zako

𝗖𝗛𝗔𝗥𝗚𝗘
Inatunza chaji kwa masaa hamsini (50 hrs playtime).
Unaweza kuichaji kwa dakika 15 ukaitumia kwa dakika 500, AniFast Technology.

𝗘𝗡𝗖 𝗧𝗘𝗖𝗛𝗡𝗢𝗟𝗢𝗚𝗬
Hii inapunguza kelele wakati unaongea na simu, hivyo kukupatia clear calls hata kama upo sehemu yenye kelele.

𝗗𝗨𝗔𝗟 𝗗𝗘𝗩𝗜𝗖𝗘 𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧𝗜𝗩𝗜𝗧𝗬
Unaweza ku-connect vifaa vyako viwili kwa wakati mmoja katika headphones hii.

𝗟𝗢𝗪 𝗟𝗔𝗧𝗘𝗡𝗖𝗬 𝗚𝗔𝗠𝗘 𝗠𝗢𝗗𝗘
Unaweza kuitumia mode hii wakati unacheza game ili kuenjoy zaidi sauti za video games.

𝗢𝗥𝗔𝗜𝗠𝗢 𝗦𝗢𝗨𝗡𝗗 𝗔𝗣𝗣
Headphones hii inasapoti matumizi ya oraimo sound app ambayo inakurahishia kuangalia kiasi cha chaji, ina equalizer kwa ajili ya ku-control sound quality, na ku-turn on game mode.

𝗔𝗗𝗗𝗜𝗧𝗜𝗢𝗡
Ni nyepesi, hivyo ukiivaa unakuwa comfortable sana na unaweza kuikunja na kupunguza size (foldable).
Unaweza ku-connect kwa Bluetooth au AUX cable.

𝗪𝗔𝗥𝗥𝗔𝗡𝗧𝗬
Warranty ya mwaka mmoja (Siku 365).

 

Apple Shopping Event

Hurry and get discounts on all Apple devices up to 20%

Sale_coupon_15

Sh 95,000

Your order qualifies for free shipping!
14 People watching this product now!
  • Pick up from the Woodmart Store

To pick up today

Free

  • Courier delivery

Our courier will deliver to the specified address

2-3 Days

Free

  • DHL Courier delivery

DHL courier will deliver to the specified address

2-3 Days

Free

  • Warranty 1 year
  • Free 30-Day returns

Payment Methods:

Description

Specification

Overview

Processor

Display

Storage

Video Card

Connectivity

Features

Battery

General

Customer Reviews