Ni speaker yenye muziki mzuri (bezi ya kutosha), muonekano wake ni mzuri sana na ina mkanda unaosaidia kubebeka kwa urahisi.
𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧𝗜𝗢𝗡 𝗠𝗢𝗗𝗘𝗦
Spika inasapoti: wireless Bluetooth, AUX input, USB Flash & FM Radio.
𝗕𝗟𝗨𝗘𝗧𝗢𝗢𝗧𝗛 𝗩𝗘𝗥𝗦𝗜𝗢𝗡
BT v5.1, rahisi kuconnect, na ukiconnect haikati kati.
𝗟𝗜𝗚𝗛𝗧𝗦
Inawaka taa za rangi tofauti tofauti zinazofanya speaker kuvutia, lakini taa zake unaweza kuzima.
𝗖𝗛𝗔𝗥𝗚𝗘
6 hours ( light on)
7 hours ( light off)
𝗔𝗗𝗗𝗜𝗧𝗜𝗢𝗡𝗦
Ni nzuri sana, inafaa kwa matumizi ya nyumbani, dukani, ofisini, beach, party, ukiwa nayo lazima uenjoy.
𝗪𝗔𝗥𝗥𝗔𝗡𝗧𝗬
Zina warranty ya mwaka mzima (siku 365).