Ni pods yenye muonekano mzuri, imara, nyepesi na yenye muziki mzuri.
𝗦𝗜𝗙𝗔 𝗞𝗨𝗨
Super bass (bezi), zinapendwa sana kutokana na muziki wake kuwa na ubora.
𝗖𝗛𝗔𝗥𝗚𝗘
Zinatunza charge kwa jumla ya masaa 50.
Earpods playtime: 7 hours (masaa 7)
Case additional charge: 43 hours (masaa 43)
𝗨𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔
Ni imara sana, sio rahisi kuharibika, imepelekea kupendwa na wengi.
𝗪𝗔𝗧𝗘𝗥 & 𝗗𝗨𝗦𝗧 𝗥𝗘𝗦𝗜𝗦𝗧𝗔𝗡𝗖𝗘
Ni IPX4 water and sweat proof, hivyo haziharibiwa na maji wala vumbi.
𝗧𝗢𝗨𝗖𝗛 𝗖𝗢𝗡𝗧𝗥𝗢𝗟
next /prev music
pause music
answer/ end call
𝗢𝗣𝗘𝗡 𝗔𝗡𝗗 𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗜𝗡𝗦𝗧𝗔𝗡𝗧𝗟𝗬
Inaconnect na simu kwa uharaka sana (Bluetooth version v5.3).
𝟮-𝗠𝗜𝗖 𝗖𝗔𝗟𝗟 𝗡𝗢𝗜𝗦𝗘 𝗖𝗔𝗡𝗖𝗘𝗟𝗟𝗔𝗧𝗜𝗢𝗡
𝗖𝗟𝗘𝗔𝗥 𝗖𝗔𝗟𝗟 , 𝗘𝗩𝗘𝗥𝗬𝗪𝗛𝗘𝗥𝗘
Inanasa sauti kutoka mdomoni unapoongea na mtu, kukufanya usikike vizuri, ukiwa mahali popote
𝗛𝗔𝗟𝗙-𝗜𝗡-𝗘𝗔𝗥 𝗖𝗢𝗠𝗙𝗢𝗥𝗧
Ni pods zisizo na raba, hivyo haziingii ndani kabisa ya sikio na zinakufanya ujisikie vizuri (comfortable), haziumizi masikio na zinakaa vizuri sikioni.
𝗪𝗔𝗥𝗥𝗔𝗡𝗧𝗬
Zina warranty ya mwaka mzima (siku 365).