Earpods pendwa zaidi kwa mwaka 2024, zenye watumiaji zaidi ya million 100 ulimwenguni, na zinatumiwa zaidi ya nchi 50.
𝗦𝗜𝗙𝗔 𝗞𝗨𝗨
Super bass (bezi), wengi wanazipenda kutokana na muziki wake kuwa na ubora, na bezi sana.
𝗢𝗥𝗔𝗜𝗠𝗢 𝗦𝗢𝗨𝗡𝗗 𝗔𝗣𝗣
Earpods hizi zinatumia application ya ORAIMO SOUND itakuwezesha wewe kuchagua aina ya muziki unaopenda yaani kuna HAVY BASS, STANDARD, ROCK, JAZZ na VOCAL , hivyo ni lazima uenjoy.
𝗖𝗛𝗔𝗥𝗚𝗘
Zinatunza charge kwa jumla ya masaa 36 (sio lugha ya kibiashara, ni ukweli).
𝗨𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔
Ni imara sana, sio rahisi kuharibika, imepelekea kupendwa na wengi.
𝗪𝗔𝗧𝗘𝗥 𝗥𝗘𝗦𝗜𝗦𝗧𝗔𝗡𝗖𝗘
Ni IPX5 water and sweat proof.
𝗧𝗢𝗨𝗖𝗛 𝗖𝗢𝗡𝗧𝗥𝗢𝗟
next /prev music
pause music
answer/ end call
𝗘𝗡𝗩𝗜𝗥𝗢𝗡𝗠𝗘𝗡𝗧𝗔𝗟 𝗡𝗢𝗜𝗦𝗘 𝗖𝗔𝗡𝗖𝗘𝗟𝗟𝗔𝗧𝗜𝗢𝗡
Hii itakusaidia, kuwasiliana na mtu vizuri sana kupitia earpods zako, hata kama upo sehemu yenye kelele.
𝗢𝗣𝗘𝗡 𝗔𝗡𝗗 𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗜𝗡𝗦𝗧𝗔𝗡𝗧𝗟𝗬
Inaconnect na simu kwa uharaka sana
𝟰 -𝗠𝗜𝗖 𝗕𝗘𝗔𝗠 𝗙𝗢𝗥𝗠𝗜𝗡𝗚 𝗧𝗘𝗖𝗛𝗡𝗢𝗟𝗢𝗚𝗬
Inanasa sauti kutoka mdomoni unapoongea na mtu, kukufanya usikike vizuri sana.
𝗪𝗘𝗣𝗘𝗦𝗜
Ni nyepesi, haziumizi masikio na zinakaa vizuri masikioni.
𝗪𝗔𝗧𝗘𝗥 & 𝗗𝗨𝗦𝗧 𝗥𝗘𝗦𝗜𝗦𝗧𝗔𝗡𝗖𝗘
Haziharibiwi na vumbi wala maji.
𝗪𝗔𝗥𝗥𝗔𝗡𝗧𝗬
Zina warranty ya mwaka mzima (siku 365).