𝗢𝗥𝗔𝗜𝗠𝗢 𝗦𝗠𝗔𝗥𝗧 𝗖𝗟𝗜𝗣𝗣𝗘𝗥 𝟮

Ni mashine nzuri sana kwa kunyolea nywele zote kubwa na ndogo, ni imara sana na inashikika kirahisi sana (comfort grip handle).

𝗣𝗢𝗪𝗘𝗥
Ni mashine yenye mota yenye nguvu sana na wembe imara, wenye spidi kubwa kufanya urahisi katika kunyoa nywele (smootness).
Inakaa na charge masaa mawili na nusu (working time: 2.5 hours)

𝗗𝗜𝗚𝗜𝗧𝗔𝗟 𝗗𝗜𝗦𝗣𝗟𝗔𝗬
Ina digital display inayokuonesha kiasi cha chaji kilichopo katika mashine yako wakati unaitumia.

𝗔𝗗𝗗𝗜𝗧𝗜𝗢𝗡
Inafaa kwa matumizi ya nyumbani na saluni.

𝗪𝗔𝗥𝗥𝗔𝗡𝗧𝗬
Warranty ya mwaka mmoja (365 days).

Apple Shopping Event

Hurry and get discounts on all Apple devices up to 20%

Sale_coupon_15

Sh 85,000

Add Sh 15,000 to cart and get free shipping!
75 People watching this product now!
  • Pick up from the Woodmart Store

To pick up today

Free

  • Courier delivery

Our courier will deliver to the specified address

2-3 Days

Free

  • DHL Courier delivery

DHL courier will deliver to the specified address

2-3 Days

Free

  • Warranty 1 year
  • Free 30-Day returns

Payment Methods:

Description

Specification

Overview

Processor

Display

Storage

Video Card

Connectivity

Features

Battery

General

Customer Reviews