𝗢𝗥𝗔𝗜𝗠𝗢 𝗦𝗠𝗔𝗥𝗧 𝗛𝗔𝗜𝗥 𝗗𝗥𝗬𝗘𝗥

Ni kifaa kinachotumika kukausha nywele zenye unyevu kwa kutoa hewa ya joto hivyo kukausha nywele kwa haraka sana.

𝗣𝗢𝗪𝗘𝗥
Ni hair dryer yenye 1800 watts ambayo huzalisha hewa yenye joto na presha kubwa kuweza kukausha nywele kwa muda mfupi bila kuathiri ngozi ya kichwa.

𝗡𝗘𝗚𝗔𝗧𝗜𝗩𝗘 𝗜𝗢𝗡 𝗧𝗘𝗖𝗛𝗡𝗢𝗟𝗢𝗚𝗬
Imetengenezwa kwa teknolojia inayozalisha zaidi ya negative (-) ions milion 2 zinazozuia kuharibu protini asili za nywele na kutunza unyevu asilia wa nywele.

𝗖𝗢𝗡𝗧𝗥𝗢𝗟
Ni hair dryer yenye viwango vitatu vya spidi tofauti, viwango viwili vya kiasi cha joto kulingana na mahitaji yako, na ina cool shot button ili kuhakikisha nywele zako zinakauka kabisa kulingana na uhitaji wako.

𝗦𝗔𝗙𝗘𝗧𝗬
Ina temperature control inayozuia kuunguza nywele na kukuhakikishia mng’ao endelevu wa nywele zako.

𝗦𝗧𝗬𝗟𝗜𝗦𝗛 𝗔𝗡𝗗 𝗣𝗢𝗥𝗧𝗔𝗕𝗟𝗘
Ni kifaa ambacho kinabebeka (portable), na ni rahisi kukihifadhi hivyo kinafaa kwa matumizi ya nyumbani na biashara.

𝗔𝗗𝗗𝗜𝗧𝗜𝗢𝗡
Ni hair dryer nyepesi yenye muonekano mzuri na ina nozzle kwa ajili ya kuongeza presha katika eneo ambalo unahitaji kukausha, nozzle hiyo unaweza kuitoa (removable).

𝗪𝗔𝗥𝗥𝗔𝗡𝗧𝗬
Bidhaa ina warranty ya mwaka mzima (siku 365).

Apple Shopping Event

Hurry and get discounts on all Apple devices up to 20%

Sale_coupon_15

Sh 120,000

Add Sh 15,000 to cart and get free shipping!
18 People watching this product now!
  • Pick up from the Woodmart Store

To pick up today

Free

  • Courier delivery

Our courier will deliver to the specified address

2-3 Days

Free

  • DHL Courier delivery

DHL courier will deliver to the specified address

2-3 Days

Free

  • Warranty 1 year
  • Free 30-Day returns

Payment Methods:

Description

Specification

Overview

Processor

Display

Storage

Video Card

Connectivity

Features

Battery

General

Customer Reviews