Ni speaker yenye muziki mzuri sana, yani sound bass (bezi) ya kutosha, ukiwa nayo lazima uenjoy.
𝗠𝗨𝗢𝗡𝗘𝗞𝗔𝗡𝗢
Muonekano wake ni mzuri sana (stylish design), inavutia, na ina umbo la duara.
𝗕𝗟𝗨𝗘𝗧𝗢𝗢𝗧𝗛 𝗩𝗘𝗥𝗦𝗜𝗢𝗡
BT 5.0, ni rahisi kuconnect, na inakupa stable connectivity (haikati kati)
𝗔𝗨𝗫 𝗜𝗡𝗣𝗨𝗧
Ina support AUX wire
𝗠𝗘𝗠𝗢𝗥𝗬 𝗖𝗔𝗥𝗗
Ina support memory card
𝗧𝗪𝗦 𝗣𝗔𝗜𝗥𝗜𝗡𝗚
Ukiwa nazo mbili unaweza kupair na zikafanya kazi kwa pamoja
𝗟𝗜𝗚𝗛𝗧𝗦
Inawaka taa za rangi tofauti tofauti zinazofanya speaker kuvutia, lakini pia unaweza kuzima taa
𝗖𝗛𝗔𝗥𝗚𝗘
Battery yake ina 6000mAh
Play time: 4-6 hours
𝗔𝗗𝗗𝗜𝗧𝗜𝗢𝗡𝗦
Inafaa kwa matumizi ya nyumbani, dukani, ofisini, beach, party, lazima uenjoy muziki wake
Base (kitako) yake ni silicone anti-slip mat inayozuia kuteleza, na athari za unyevu au joto.
𝗕𝗘𝗜
𝗪𝗔𝗥𝗥𝗔𝗡𝗧𝗬
Speaker zina warranty ya mwaka mzima (siku 365), kwa bidhaa original tu.