𝗢𝗥𝗔𝗜𝗠𝗢 𝗪𝗔𝗧𝗖𝗛 𝗘𝗦𝟮

Ni saa yenye muonekano mzuri wa kuvutia, AMOLED display, na imara sana.

𝗪𝗜𝗥𝗘𝗟𝗘𝗦𝗦 𝗖𝗔𝗟𝗟
Ina uwezo wa kupiga, kupokea na kukata simu, pia ina HD audio quality hivyo kukufanya usikie na kusikika vizuri katika maongezi yako.

𝗕𝗨𝗜𝗟𝗧-𝗜𝗡 𝗠𝗨𝗦𝗜𝗖 𝗣𝗟𝗔𝗬𝗘𝗥
Unaweza ku-import nyimbo kwenye hii saa na ukasikiliza kupitia spika ya saa au kifaa ulicho-connect na saa.

𝟭𝟬𝟬+ 𝗦𝗣𝗢𝗥𝗧𝗦 𝗠𝗢𝗗𝗘𝗦
Inapoti kutumia kwenye michezo zaidi ya 120, na unaweza ku-control muziki kupitia saa yako ukiwa unafanya mazoezi.

𝟮𝟰𝗛𝗥𝗦 𝗛𝗘𝗔𝗟𝗧𝗛 𝗠𝗢𝗡𝗜𝗧𝗢𝗥𝗜𝗡𝗚
Saa hii inakusaidia ku-monitor na ku-record afya yako kwa kupima mapigo ya moyo, kiasi cha oxygen kwenye damu, energy, usingizi, hatua, umbali n.k.

𝗖𝗛𝗔𝗥𝗚𝗘
Inatunza chaji kwa muda wa siku 7.

𝗜𝗣𝟲𝟴 𝗗𝗨𝗦𝗧 & 𝗪𝗔𝗧𝗘𝗥 𝗥𝗘𝗦𝗜𝗦𝗧𝗔𝗡𝗖𝗘
Hii inasaidia kuhimili mvua, jasho na vumbi.

𝗢𝗧𝗛𝗘𝗥 𝗙𝗘𝗔𝗧𝗨𝗥𝗘𝗦
Ina AMOLED screen, hivyo inakupa clear view kwenye screen yake.
Ina quick reply text unapohitaji kukata simu.
Ina reminder, hivyo unaweza ku-set muda unaohitaji kufanya shughuli fulani, muda ukifika saa ita-vibrate kukukumbusha.

𝗪𝗔𝗥𝗥𝗔𝗡𝗧𝗬
Ina warranty ya mwaka mmoja(siku 365).

 

Apple Shopping Event

Hurry and get discounts on all Apple devices up to 20%

Sale_coupon_15

Original price was: Sh 250,000.Current price is: Sh 210,000.

Your order qualifies for free shipping!
93 People watching this product now!
  • Pick up from the Woodmart Store

To pick up today

Free

  • Courier delivery

Our courier will deliver to the specified address

2-3 Days

Free

  • DHL Courier delivery

DHL courier will deliver to the specified address

2-3 Days

Free

  • Warranty 1 year
  • Free 30-Day returns

Payment Methods:

Description

Specification

Overview

Processor

Display

Storage

Video Card

Connectivity

Features

Battery

General

Customer Reviews