Experience unparalleled audio clarity with Oraimo Freepods Pro true wireless earbuds in Tanzania. Featuring Active Noise Cancellation (ANC), powerful bass, and a comfortable fit, they deliver an immersive listening experience perfect for music, calls, and quiet focus.
Ni earpods pendwa yenye mwonekano mzuri, imara na ina sauti yenye ubora wa hali ya juu, ina tuzo ya IF design award.
𝗛𝗔𝗩𝗬𝗕𝗔𝗦𝗦
Earbuds hii ina bezi (bass) ya kutosha, na unaweza kubadili kati ya havybass mode na normal mode.
𝗣𝗥𝗢 𝗛𝗬𝗕𝗥𝗜𝗗 𝗡𝗢𝗜𝗦𝗘 𝗖𝗔𝗡𝗖𝗘𝗟𝗟𝗔𝗧𝗜𝗢𝗡
Imetengenezwa kwa teknolojia inayoponguza sauti za nje (kelele) kwa 60%, hivyo utasikiliza mziki au kuongea na simu bila shida ya mazingira uliyopo.
𝗧𝗥𝗔𝗡𝗦𝗣𝗔𝗥𝗘𝗡𝗖𝗬 𝗠𝗢𝗗𝗘
Mode hii inatumika pale unapohitaji kusikia sauti za nje wakati ukiwa umevaa buds zako.
𝟰-𝗠𝗜𝗖 𝗕𝗘𝗔𝗠𝗙𝗢𝗥𝗠𝗜𝗡𝗚 𝗧𝗘𝗖𝗛𝗡𝗢𝗟𝗢𝗚𝗬
Teknolojia hii inaku-offer clear and pure voice wakati unaongea na simu, kwa kuchuja sauti za nje na kunasa moja kwa moja sauti inayotoka kinywani.
𝗖𝗛𝗔𝗥𝗚𝗘
Earbuds zinatunza chaji masaa 43.
13 hrs buds + 30hrs case.
𝗔𝗗𝗗𝗜𝗧𝗜𝗢𝗡
• Google fast pairing, ina-connect kwa haraka sana na inakupa pop-up notification kwenye simu yako.
• Ina-detect pale unapotoa bud moja, ina-pause muziki na ukiirudisha ina-resume.
• Low latency mode, unayoweza kuitumia unapocheza video games.
𝗪𝗔𝗥𝗥𝗔𝗡𝗧𝗬
Warranty ya mwaka mmoja kwa bidhaa original.