Experience rich audio while staying connected to your surroundings with Oraimo Open Circlet open-ear wireless headphones in Tanzania. Designed for comfort and safety, these Bluetooth headsets offer premium sound and a secure fit for active lifestyles.
Ni pods ambayo haiingii ndani ya sikio, imetengenezwa kwa teknolojia kubwa inayoruhusu kupata muziki mzuri na HD calling bila ya kuwa ndani ya sikio.
𝗗𝗘𝗦𝗜𝗚𝗡
Imetengenezwa kwa silicone materials na ni nyepesi, hivyo haiumizi na unakuwa comfortable kama hujaweka kitu chochor katika masikio yako.
𝗢𝗣𝗘𝗡-𝗘𝗔𝗥 𝗗𝗘𝗦𝗜𝗚𝗡 𝗙𝗢𝗥 𝗛𝗘𝗔𝗟𝗧𝗛-𝗦𝗔𝗙𝗘
Open-ear design inaruhusu kuingia na kutoka kwa hewa katika sikio hivyo kupunguza presha ndani ya sikio, pods hii ni salama zaidi kiafya (zero hearing damage)
𝗜𝗣𝗫𝟱 𝗪𝗔𝗧𝗘𝗥𝗣𝗥𝗢𝗢𝗙 & 𝗦𝗪𝗘𝗔𝗧 𝗣𝗥𝗢𝗧𝗘𝗖𝗧𝗜𝗢𝗡
Unaweza kuitumia katika mazoezi bila hofu ya jasho au maji.
𝗖𝗛𝗔𝗥𝗚𝗘
Playtime: 16 hours
Ukiichaji kwa dakika 10 unaweza kuitumia kwa masaa 3.5
𝗔𝗗𝗗𝗜𝗧𝗜𝗢𝗡
Ina 2-mic Environmental Noise Cancellation, hivyo inakupa HD voice katika calls
Pia, ina low latency game mode hivyo unaweza kuenjoy kuitumia katika video games.
𝗪𝗔𝗥𝗥𝗔𝗡𝗧𝗬
Ina warranty ya mwaka mzima (siku 365).