Stay connected, track your fitness, and look stylish with the Oraimo Watch 4 Plus in Tanzania. This smartwatch offers comprehensive fitness tracking, heart rate monitoring, long battery life, and a sleek design, perfect for your active lifestyle.
Ni saa yenye muonekano mzuri wa kuvutia, na imara sana.
𝗪𝗜𝗥𝗘𝗟𝗘𝗦𝗦 𝗖𝗔𝗟𝗟
Ina uwezo wa kupiga, kupokea na kukata simu, pia ina HD audio quality hivyo kukufanya usikie na kusikika vizuri katika maongezi yako.
𝟭𝟬𝟬+ 𝗦𝗣𝗢𝗥𝗧𝗦 𝗠𝗢𝗗𝗘𝗦
Inapoti kutumia kwenye michezo zaidi ya 120, na unaweza ku-control muziki kupitia saa yako ukiwa unafanya mazoezi.
𝟮𝟰𝗛𝗥𝗦 𝗛𝗘𝗔𝗟𝗧𝗛 𝗠𝗢𝗡𝗜𝗧𝗢𝗥𝗜𝗡𝗚
Saa hii inakusaidia ku-monitor na ku-record afya yako kwa kupima mapigo ya moyo, kiasi cha oxygen kwenye damu, energy, usingizi, hatua, umbali n.k.
𝗖𝗛𝗔𝗥𝗚𝗘
Inatunza chaji kwa muda wa siku 7.
𝗜𝗣𝟲𝟴 𝗗𝗨𝗦𝗧 & 𝗪𝗔𝗧𝗘𝗥 𝗥𝗘𝗦𝗜𝗦𝗧𝗔𝗡𝗖𝗘
Hii inasaidia kuhimili mvua, jasho na vumbi.
𝗨𝗦𝗘𝗙𝗨𝗟 𝗚𝗔𝗗𝗚𝗘𝗧
Hii ni zaidi ya saa, ina stopwatch, timer, flashlight, remote control of camera, na unaweza kuitafuta simu yako kupitia saa.
𝗢𝗧𝗛𝗘𝗥 𝗙𝗘𝗔𝗧𝗨𝗥𝗘𝗦
Ni full HD screen.
Ina quick reply texts.
Ina quick call back.
𝗪𝗔𝗥𝗥𝗔𝗡𝗧𝗬
Warranty ya mwaka mmoja kwa bidhaa original.