-
Pick up from the Woodmart Store
To pick up today
Free
-
Courier delivery
Our courier will deliver to the specified address
2-3 Days
Free
-
DHL Courier delivery
DHL courier will deliver to the specified address
2-3 Days
Free
📡 Airtel 5G Outdoor Unit (ODU) ni suluhisho la intaneti ya kasi kwa nyumba, ofisi na biashara. Kifaa hufungwa nje ili kupokea signal vizuri zaidi na kuleta connection imara ndani.
✅ Kasi hadi 25Mbps kulingana na kifurushi
✅ Inaunganisha hadi vifaa 64
✅ Imetengenezwa kwa matumizi ya nje
✅ Inakuja na UPS yenye backup hadi masaa 6
✅ Bando la mwezi wa kwanza na installation vinajumuishwa
✅ Inafaa kwa nyumba, ofisi na Hotspot Wi-Fi
📞 Agiza kupitia 0622 004 383
Hurry and get discounts on all Apple devices up to 20%
Sale_coupon_15
Sh 100,000
To pick up today
Free
Our courier will deliver to the specified address
2-3 Days
Free
DHL courier will deliver to the specified address
2-3 Days
Free
Payment Methods:
Unahitaji intaneti yenye kasi na connection imara nyumbani, ofisini au kwenye biashara? Airtel 5G Outdoor Unit hufungwa nje ya jengo ili kupokea signal vizuri zaidi kutoka kwenye mnara wa Airtel na kuleta intaneti ndani kupitia router.
Ni chaguo zuri kwa maeneo yenye watumiaji wengi au yanayohitaji intaneti ya kuaminika kwa kazi, masomo, burudani na biashara.
✅ Inaunganisha hadi vifaa 64 kwa wakati mmoja
✅ Inafaa kwa matumizi ya nyumbani, ofisini na biashara
✅ Hufungwa nje ili kusaidia kupokea signal vizuri
✅ Inastahimili mazingira ya nje kama mvua, jua na upepo
✅ Inakuja na UPS inayoweza kutoa backup hadi masaa 6
✅ Inaweza kutumika kama chanzo cha intaneti kwa biashara ya Hotspot Wi-Fi
✅ Bando la mwezi wa kwanza na huduma ya installation vinajumuishwa
📶 TSh 70,000 — hadi 25Mbps kwa siku 30
📶 TSh 100,000 — hadi 40Mbps kwa siku 30
Kasi halisi na upatikanaji wa huduma hutegemea coverage ya Airtel, eneo, mazingira, idadi ya watumiaji na hali ya mtandao.
Tunatoa huduma Dar es Salaam na mikoa mingine kulingana na upatikanaji wa coverage. Delivery na installation ni bure kwa wakazi wa Dar es Salaam na viunga vyake.
📍 ShineTronics – Sayansi, Makumbusho, Dar es Salaam
📞 Piga simu/WhatsApp: 0622 004 383
🚀 Fanya Wi-Fi yako ikulipe!
| Brand | Airtel |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Airtel |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Airtel |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Airtel |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Airtel |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Airtel |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Airtel |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Airtel |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Airtel |
|---|---|
| Color | White |
In stock
In stock
In stock
No account yet?
Create an Account