-
Pick up from the Woodmart Store
To pick up today
Free
-
Courier delivery
Our courier will deliver to the specified address
2-3 Days
Free
-
DHL Courier delivery
DHL courier will deliver to the specified address
2-3 Days
Free
📡 Halotel 5G Router ni suluhisho la intaneti yenye kasi kwa matumizi ya nyumbani, ofisini na kwenye biashara.
✅ Teknolojia ya 5G
✅ Speed hadi 30Mbps kulingana na kifurushi
✅ Inaunganisha hadi vifaa 64
✅ Coverage hadi mita 100
✅ Inakuja na power bank yenye backup hadi masaa 6
✅ Bando la mwezi wa kwanza linajumuishwa
✅ Inafaa nyumbani, ofisini na kwenye biashara
📞 Agiza kupitia 0622 004 383
Hurry and get discounts on all Apple devices up to 20%
Sale_coupon_15
Sh 200,000
To pick up today
Free
Our courier will deliver to the specified address
2-3 Days
Free
DHL courier will deliver to the specified address
2-3 Days
Free
Payment Methods:
Unahitaji intaneti yenye kasi, connection imara na uwezo wa kuunganisha vifaa vingi? Halotel 5G Router ni chaguo zuri kwa nyumba, ofisi, apartments, hostels na maeneo ya biashara.
Router hii inaweza kuunganisha hadi vifaa 64 kwa wakati mmoja na kusambaza Wi-Fi hadi umbali wa takribani mita 100, kulingana na mazingira ilipowekwa. Inakuja pia na power bank inayoweza kutoa backup ya umeme hadi masaa 8.
✅ Teknolojia ya 5G kwa intaneti yenye kasi
✅ Inaunganisha hadi vifaa 64 kwa wakati mmoja
✅ Coverage ya Wi-Fi hadi takribani mita 100
✅ Inakuja na power bank yenye backup hadi masaa 8
✅ Bando la mwezi wa kwanza linajumuishwa
✅ Inafaa kwa nyumba, ofisi na maeneo ya biashara
✅ Rahisi kuunganisha simu, laptop, Smart TV na vifaa vingine vya Wi-Fi
🟠 TSh 70,000 — hadi 30Mbps kwa siku 30
🟠 TSh 100,000 — hadi 50Mbps kwa siku 30
🟠 TSh 180,000 — hadi 100Mbps kwa siku 30
🟠 TSh 300,000 — hadi 200Mbps kwa siku 30
Kasi halisi na coverage hutegemea eneo, ubora wa signal, mazingira, idadi ya vifaa vilivyounganishwa na hali ya mtandao.
📌 Mteja anatakiwa kuwa na namba ya NIDA kwa ajili ya usajili wa huduma.
📍 Tunapatikana Sayansi–Makumbusho, Dar es Salaam.
✅ Wateja wa Dar es Salaam wanaweza kufika ofisini au kupelekewa
✅ Kwa wateja wa mikoani, mzigo unatumiwa baada ya malipo kuthibitishwa
✅ Kama una ndugu Dar es Salaam, anaweza kufika ofisini na kuhudumiwa kwa niaba yako
📞 Piga simu/WhatsApp: 0622 004 383
🚀 Karibu ShineTronics — Smart Internet Solutions
| Brand | Halotel |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Halotel |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Halotel |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Halotel |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Halotel |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Halotel |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Halotel |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Halotel |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Halotel |
|---|---|
| Color | White |
In stock
In stock
In stock
No account yet?
Create an Account