-
Pick up from the Woodmart Store
To pick up today
Free
-
Courier delivery
Our courier will deliver to the specified address
2-3 Days
Free
-
DHL Courier delivery
DHL courier will deliver to the specified address
2-3 Days
Free
📡 ZTE K12 Universal 4G WiFi 6 Router inayokupa uhuru wa kutumia laini ya mtandao wowote, ikiwemo Vodacom na Halotel.
✅ Inaunganisha hadi vifaa 32
✅ WiFi 6 yenye muunganisho imara
✅ Betri ya 2600mAh – hadi masaa 6
✅ Antena za nje kwa upokeaji mzuri wa signal
✅ Inafaa nyumbani, ofisini, biashara na safarini
Hurry and get discounts on all Apple devices up to 20%
Sale_coupon_15
Sh 130,000
To pick up today
Free
Our courier will deliver to the specified address
2-3 Days
Free
DHL courier will deliver to the specified address
2-3 Days
Free
Payment Methods:
Pata intaneti yenye uhakika ukiwa nyumbani, ofisini, kwenye biashara au safarini kwa kutumia ZTE K12 Universal Router. Router hii haijafungwa kwa mtandao mmoja—unaweza kuweka laini ya mtandao unaokufaa, ikiwemo YAS, Vodacom, Airtel na Halotel.
Teknolojia ya WiFi 6 husaidia kutoa muunganisho imara, latency ndogo na kuhudumia vifaa vingi kwa ufanisi. Inaweza kuunganisha hadi vifaa 32 kwa wakati mmoja, hivyo inafaa kwa familia, ofisi, maduka na biashara ndogo.
⚙️ Sifa Kuu
✅ Universal 4G Router—inaingia laini ya mtandao wowote
✅ Teknolojia ya WiFi 6 yenye low latency
✅ Inaunganisha hadi vifaa 32 kwa wakati mmoja
✅ Betri ya 2600mAh inayodumu hadi masaa 6
✅ External Antennas kwa upokeaji mzuri wa signal
✅ Smart Indicator Lights
✅ Rahisi kutumia—weka SIM Card, washa router na uunganishe vifaa
✅ Inafaa nyumbani, ofisini, biashara na safarini
📦 Bando Zinazopatikana
Unaweza pia kupata bando la intaneti kutoka ShineTronics. Chagua mtandao na kasi inayokufaa:
🔴 Vodacom Prepaid Packages
🟢 Halotel Packages
🏠 Inafaa Kwa
✅ Matumizi ya nyumbani
✅ Ofisi na biashara ndogo
✅ Online classes na mikutano ya video
✅ Streaming na matumizi ya mitandao ya kijamii
✅ Wasafiri wanaohitaji intaneti popote walipo
✅ Maeneo yasiyokuwa na Fiber Internet
⚠️ Kumbuka
Kasi na ubora wa intaneti hutegemea coverage ya mtandao uliochagua, nguvu ya signal katika eneo lako, kifurushi unachotumia na idadi ya vifaa vilivyounganishwa. Upatikanaji wa packages na bei unaweza kubadilika kulingana na masharti ya mtandao husika.
🚚 Free Delivery Dar es Salaam
📦 Tunatuma mikoani kote Tanzania
📞 Call/WhatsApp: 0622 004 383
📍 Sayansi Makumbusho, Dar es Salaam
| Brand | Vodacom |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Vodacom |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Vodacom |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Vodacom |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Vodacom |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Vodacom |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Vodacom |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Vodacom |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Vodacom |
|---|---|
| Color | White |
In stock
In stock
In stock
No account yet?
Create an Account