-
Pick up from the Woodmart Store
To pick up today
Free
-
Courier delivery
Our courier will deliver to the specified address
2-3 Days
Free
-
DHL Courier delivery
DHL courier will deliver to the specified address
2-3 Days
Free
📡 Nokia FastMile 5G Gateway 3 ni router ya kisasa inayotumia mtandao wa 5G na 4G LTE, ikiwa na Wi‑Fi 6 Dual-Band kwa intaneti yenye kasi, coverage nzuri na connection imara.
✅ 5G NR na 4G LTE
✅ Wi‑Fi 6 Dual-Band – 2.4GHz + 5GHz
✅ Inaunganisha hadi vifaa 128
✅ Antena za ndani zenye nguvu hadi 11dBi
✅ Touchscreen ya kuonyesha signal na taarifa za mtandao
✅ Gigabit LAN Ports 3
✅ Inatumia Nano SIM Card
✅ Inafaa nyumbani, ofisini na kwenye biashara
Hurry and get discounts on all Apple devices up to 20%
Sale_coupon_15
Sh 550,000
To pick up today
Free
Our courier will deliver to the specified address
2-3 Days
Free
DHL courier will deliver to the specified address
2-3 Days
Free
Payment Methods:
Imarisha mawasiliano na shughuli za ofisi yako kwa kutumia Nokia FastMile 5G Gateway 3. Hii ni router ya kisasa inayotumia mtandao wa 5G pamoja na 4G LTE, ikiwa na teknolojia ya Wi‑Fi 6 kwa connection yenye kasi, stability na uwezo wa kuhudumia vifaa vingi kwa wakati mmoja.
Ni chaguo bora kwa ofisi zinazotumia laptops, desktop computers, printers, Smart TV, CCTV, POS, IP phones na simu za wafanyakazi. Inaweza kuunganisha hadi vifaa 128, hivyo inafaa kwa ofisi ndogo, za kati na maeneo mengine ya biashara.
✅ 5G NR na 4G LTE
✅ Wi‑Fi 6 – IEEE 802.11ax
✅ Dual-Band Wi‑Fi – 2.4GHz na 5GHz
✅ Inaunganisha hadi vifaa 128
✅ MU-MIMO kwa kuhudumia vifaa vingi kwa ufanisi
✅ Antena za ndani zenye nguvu hadi 11dBi
✅ Touchscreen ya kuonyesha nguvu ya signal na taarifa za mtandao
✅ Gigabit Ethernet LAN Ports 3
✅ Inatumia Nano SIM Card
✅ Inafanya kazi kwenye 5G SA, 5G NSA na 4G LTE
✅ WebUI kwa ajili ya kusimamia mipangilio ya router
✅ Inaruhusu kupanua Wi‑Fi kupitia Nokia WiFi Mesh
✅ Plug & Play – weka SIM Card, washa na uanze kutumia
✅ Inaweza kuunganisha hadi vifaa 128 kwa wakati mmoja
✅ Wi‑Fi 6 inapunguza msongamano wa mtandao
✅ Inafaa kwa Zoom, Google Meet na video conference
✅ Inafaa kwa cloud systems, email na shughuli za kila siku za kampuni
✅ Inaweza kuunganisha CCTV, printers, POS na Smart TV
✅ Gigabit LAN Ports zinawezesha kuunganisha vifaa muhimu kwa cable
✅ Inaweza kuunganishwa na switch, MikroTik au Access Point
✅ Inafaa kama mtandao mkuu au backup internet ya ofisi
✅ Touchscreen hurahisisha kupata sehemu yenye signal nzuri
✅ Inaweza kupanuliwa kuhudumia vyumba au floors mbalimbali
• Ofisi na kampuni
• Shule na taasisi
• Maduka na supermarkets
• Hospitali na vituo vya afya
• Guest house na hoteli
• Apartments na hostels
• Restaurants na maeneo ya biashara
• CCTV monitoring
• Hotspot Wi‑Fi business
Unaweza kupata router pamoja na bando la internet kulingana na mtandao na speed inayokufaa.
• TSh 70,000 – hadi 10Mbps
Kwa wenye umri chini ya miaka 25
• TSh 115,000 – hadi 20Mbps
• TSh 120,000 – hadi 30Mbps
• TSh 150,000 – hadi 50Mbps
• TSh 250,000 – hadi 100Mbps
• TSh 400,000 – hadi 200Mbps
• TSh 600,000 – hadi 350Mbps
• TSh 70,000 – hadi 10Mbps
• TSh 100,000 – hadi 20Mbps
• TSh 150,000 – hadi 50Mbps
• TSh 200,000 – hadi 100Mbps
• TSh 50,000 – hadi 10Mbps kwa siku 30
• TSh 70,000 – hadi 30Mbps kwa siku 30
• TSh 100,000 – hadi 50Mbps kwa siku 30
• TSh 180,000 – hadi 100Mbps kwa siku 30
• TSh 300,000 – hadi 200Mbps kwa siku 30
• 10Mbps – ofisi ndogo yenye matumizi ya kawaida
• 20–30Mbps – ofisi yenye wafanyakazi kadhaa na video calls
• 50Mbps – ofisi yenye vifaa vingi na matumizi makubwa
• 100Mbps au zaidi – kampuni, taasisi na ofisi kubwa
Package inayokufaa inategemea idadi ya watumiaji, aina ya kazi zinazofanyika na upatikanaji wa network katika eneo lako.
• Nokia FastMile 5G Gateway 3
• Power Adapter
• Quick Start Guide
• Kasi halisi hutegemea package, nguvu ya signal, eneo, msongamano wa mtandao na idadi ya vifaa vinavyotumia internet.
• Kwa performance nzuri zaidi, router iwekwe karibu na dirisha au sehemu ya juu yenye signal nzuri.
• Hiki ni kifaa cha matumizi ya ndani na
| Brand | Vodacom |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Vodacom |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Vodacom |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Vodacom |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Vodacom |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Vodacom |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Vodacom |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Vodacom |
|---|---|
| Color | White |
| Brand | Vodacom |
|---|---|
| Color | White |
In stock
In stock
In stock
No account yet?
Create an Account